Ticker

6/recent/ticker-posts

DKT. SHELUKINDO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA MAKATIBU WAKUU WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA CHA SADC

Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye Tanzania ni Mwenyekiti wa kamati hiyo kinafanyika Zanzibar Januari 04, 2025.

Kikao hicho kimeitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya siasa na usalama nchini Msumbiji kufuatia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Oktoba, 09, 2024

Mkutano huo wa Makatibu Wakuu unafanyika chini ya Mwenyekiti, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi, Dkt. Samwel W. Shelukindo

Nchi zinazoshiriki mkutano huo ni mwenyeji Tanzanua, Zambia na Malawi.

Post a Comment

0 Comments