Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akikunjuwa Kitambaa kushiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya MajiNishati na Madini waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya MajiNishati na Madini waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Mkurugenzi Mkuu ZAWA Mhandisi Dk Salha Mohamed Kassim akitoa hotuba ya kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir Katikati akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi na Wafanyakazi Wizara Maji Nishati na Madini katika Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akifungua Maji kuashiria Upatikanaji wa m aji hayo katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji Maji Mkorogo Mkoa wa Kusini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.24/12/2024.I
0 Comments