Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHIWA TUZO KWAAJILI YA RAIS DKT. SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi ya tuzo ya mapambano dhidi ya rushwa iliyotolewa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024. anayekabidhi tuzo hiyo ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu

Post a Comment

0 Comments