**********************
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu John V. K Mongella anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mkoa wa Mbeya tarehe 20 Novemba 2024 uzinduzi utakaofanyika katika Uwanja wa Kabwe.
Read more
0 Comments