Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MWINYI AMTEMBELEA MZEE GAVU NYUMBANI KWAKE KUSINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Haji Ussi Haji Gavu Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja, alipofika nyumbani kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya Kusini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake leo 21-9-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Haji Ussi Haji Gavu, alipofika nyumbani kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya Kusini Unguja leo 21-9-2024, kumtembelea na kumjulia hali yake

Post a Comment

0 Comments