Ticker

6/recent/ticker-posts

TIGO YASHIRIKI SELOUS MARATHON MSIMU WA SITA 2024

 Na Mwandishi Wetu.

Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imeshiriki Msimu wa Sita wa Mbio Maarufu za SELOUS MARATHON zilizofanyika Leo , Agosti , 24 , 2024 Mkoani Morogoro. Kampuni hiyo imeshiriki mbio hizo kwa kutoa huduma mbalimbali za Kidigitali kwa Washiriki kabla, wakati na baada ya Mbio . 







Post a Comment

0 Comments