Ticker

6/recent/ticker-posts

OSHA YAFANYA WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WAKE KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Zuhura Yunus, wakifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ambapo OSHA ilifanya wasilisho kuhusu utendaji wake.

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akifanya wasilisho kuhusu utendaji wa OSHA katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Bi. Zuhura Yunus (wa kwanza kulia), Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda (wa pili kulia) na Kamishna wa Kazi, Bi. Suzan Mkangwa wakifuatilia wakifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ambapo OSHA ilifanya wasilisho kuhusu utendaji wake.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi, akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao ambacho OSHA ilifanya wasilisho kuhusu utendaji wake.

Post a Comment

0 Comments