Ticker

6/recent/ticker-posts

IGP WAMBURA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura Agosti 20,2024 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego wakati alipomtembelea ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani humo.

IGP Camillus Wambura yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi kwa ajili ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali. Picha na Jeshi la Polisi

Post a Comment

0 Comments