Ticker

6/recent/ticker-posts

TANZANIA YATOA NENO UKUBWA WA RIBA KIMATAIFA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, katika kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment - FfD4 ikiwa ni siku ya pili ya Kikao hicho kinachofanyika jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Washiriki wa Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment - FfD4, kutoka nchi mbalimbali wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha – Tanzania Bi. Amina Shaaban (hayupo pichani) wakati akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), katika kikao hicho, jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiteta jambo na Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Fedha za Nje, Bw. Patrick Pima katika kikao cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment - FfD4, ambapo licha ya Mawaziri na wawakilishi kuwasilisha hoja mbalimbali, wadau pia watapata fursa ya kujadiliana maeneo yote ya utekelezaji ya Ajenda ya Addis Ababa kutathmini maendeleo yaliyopatikana na kuibua mawazo mapya ili kuziba mapengo yaliyosalia katika utekelezaji wa maendeleo endelevu.
Picha za matukio mbalimbali katika Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment - FfD4, ikiwa ni siku ya pili ya kikao hicho kinachofanyika mjini Addis Ababa nchini Ethiopia hadi Julai 26 mwaka huu.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha- Addis Ababa - Ethiopia)

Post a Comment

0 Comments