Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA RUKWA KWENYE UWANJA WA NELSON MANDELA MJINI SUMBAWANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga tarehe 17 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuhutubia na kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.
Shamrashamra za Wananchi wa Sumbawanga Mkoani Rukwa mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Uwanja wa Nelson Mandela kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo tarehe 17 Julai, 2024.

Post a Comment

0 Comments