Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA DODOMA 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Taifa katika Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024 Jijini Dodoma



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024Jijini Dodoma.


Viongozi mbalimbali wakiwasili wakati wa Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024Jijini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Post a Comment

0 Comments