Ticker

6/recent/ticker-posts

KAIMU MKURUGENZI TIGO ATOA HUDUMA KWA WATEJA WA TIGO SABASABA

 

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Bw. Jerome Albou ( kulia ) akimuelezea mteja kuhusu simu mpya Aina ya ZTE34 alipotembelea Banda la Tigo katika Maonesho ya 48 ya Biashara Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea Temeke Jijini Dar Es Salaam , Ikumbukwe  simujanja ya ZTE A34 ina uwezo wa 4G na inapatikana kwa bei nafuu ya Tsh, 650 kwa siku kwa mkopo ambapo kianzio chake ni elfu 35 tu , ikiambatana na MB 100 BURE kila siku kutoka Tigo , ni imara , Kioo chake inchi 6.6 , Kamera 2 , 64 GB Storage , Betri imara chaji hadi siku 2 " , Tembelea banda la TIGO lililopo Maonesho ya sabasaba kujipatia simu hii .

Post a Comment

0 Comments