Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa Mkoani Mkoani Morogoro alipotembelea Kiwanda hivyo kufuatia ajali iliyotokea Kiwandani hapo Mei 22, 2024 akiambatana na Wakuu wa Taassi za OSHA na WCF pamoja Maafisa wa taasisi hizo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi pamoja na Wakuu wa Taasisi za OSHA na WCF pamoja na Wakaguzi wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi wa OSHA wakipokea maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Bw. Juma Saidy (mwenye shati yenye mistari myekundu) juu ya nama ajali ilivyotokea na kusababisha vifo vya watu 13 Kiwandani hapo.
0 Comments