Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA BRAZILI NCHINI TANZANIA IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Brazil Nchini Tanzania Mhe.Gustavo Martins Nogueira alipofika Ikulu Jijini Zanzibarb leo 13-5-2024 kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-5-2024, alipofika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments