Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akiagana na Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, ambaye ni Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024 baada ya kukabidhiwa Cheti, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha, Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Fedha, Bi. Fauzia Nombo na kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto), akimkabidhi Cheti Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Fedha, Bi. Fauzia Nombo na kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akizungumza jambo na Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma, baada ya kukabidhiwa Cheti. Kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Cheti kilichotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) kutoka kwa Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo, kabla ya kumkabidhi Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake, jijini Dodoma.
Mfanyakazi Hodari Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, akishukuru kwa dhati ujumbe wa Wizara ya Fedha, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (hayupo pichani) baada ya kumtembelea nyumbani kwake jijini Dodoma na kumkabidhi Cheti.
Mfanyakazi Hodari Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, akishukuru kwa dhati ujumbe wa Wizara ya Fedha, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (hayupo pichani) baada ya kumtembelea nyumbani kwake jijini Dodoma na kumkabidhi Cheti.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha-Dodoma)
0 Comments