Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei
Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha
kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu
wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh
Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho hayo.
0 Comments