Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga akizungumza na menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Jijini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Taasisi zilizopo chini ya Ofisi hiyo.
Menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na baadhi ya Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga (hayupo pichani) alipotembelea Mfuko huo tarehe 6 Mei, 2024.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma akieleza jambo wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Viongozi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wakiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mfuko huo kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga alipotembelea Mfuko huo tarehe 6 Mei, 2024, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga (katikati) akikabidhiwa maua kama ishara ya kumkaribisha katika Mfuko huo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma. Kulia ni Bi. Navoneiwa Senkoro.
0 Comments