Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA DORIS MOLLEL KWENYE MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH 2024


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Doris Mollel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda mbalimbali kwenye Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Tarehe 06 Aprili 2024.

Post a Comment

0 Comments