Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MASAUNI ATOA MKONO WA POLE KWA RAIS WA DKT, MWINYI NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI.B

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Masauni, alipofika nyumbani kwa Mhe.Rais Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuhani na kutowa mkono wa pole, kwa kufiwa na Baba yake Mzazi Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi , aliyefariki wiki ilipopita na kuzika katika Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja wiki uliyopita.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Masauni alipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuhani na kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, maziko yaliyofanyika wiki iliyopita katika Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments