Ticker

6/recent/ticker-posts

WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS IKULU WAJUMUIKA KATIKA DUA NA KISOMO CHA HITMA VIWANJA VYA IKULU ZANZIBAR

WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Rais Ikulu wakijimuika katika kisoma cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-3-2024(Picha na Ikulu)
WASAIDIZI wa Rais wa Zanzibar na Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Wageni waalikwa wakijumuika katika kisoma cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi , iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibarb leo 7-3-2024.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Ndg.Saleh Juma Mussa, akijumuika na Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-3-2024 na (kushoto kwake) Katibu wa Rais Ndg. Masoud Balozi Masoud na (kulia kwake) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said akijumuika na Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-3-2024 na (kushoto kwake) Mkurugenzi Diaspora Zanzibar Adila Hilal Vuai.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar wakijumuika katika kuitikia dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-3-2024.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments