Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine Nzeyimana kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
0 Comments