Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZOEZI LA KUAGA MWILI WA HAYATI MZEE ALI HASSAN MWINYI KWENYE UWANJA WA UHURU

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akiwa pamoja na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024.

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024.

 

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024. 

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akizungumza katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024. 

Makamu Mwenyekiti CCM (Bara) Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024.

Baadhi ya Mawaziri pamoja na Viongozi wengine wa Serikali wakiwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024.

Post a Comment

0 Comments