Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoka kukagua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
0 Comments