Muonekano wa Jengo la Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Husein Ali Mwinyi Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali MwinyI akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni katika Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariamu Mwinyi wakimsikiliza Mwanafunzi Bibiye Abdul-rahman Amour wakati akitembelea Darasa la Compyuter Room na kusalimiana na Wanafunzi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi pamojana Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Darasa la Nne kutoka Skuli ya Jendele Abdukarim mohamed Nahadha na Khamisuu Juma Mohamed baada ya kusoma Utenzi Mzuri katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi katikati akiwa pamojana Viongozi wengine katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa waliofanya sanaa ya ngoma na utenzi katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHANA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.09/01/2024.J
0 Comments