Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katikati akipokea Kombe la Mapinduzi kutoka kwa Mfadhili wa Timu ya Mlandege Ndg.Abdulsatar Daudi baada ya kuifunga Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex ,wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku alichowandalia timu hiyo na Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar jana Ikulu Zanzibar (kulia) Rais wa timu ya Mlandege Kamal Abdulsatar Daudi na Hussein Abdulsatar Daudi.[Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar pamoja na Timu ya Mlandege kwa kuchukua Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex .[Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Ndg.Fatma wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar pamoja na Timu ya Mlandege kwa kuchukua Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hamza Hassan Juma. .[Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikatri) akiteta jambo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla katika viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar pamoja na Timu ya Mlandege kwa kuchukua Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .[Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Baadhi ya Wananchi walioalikwa katika hafla ya Chakula cha Usiku walichoandaliwa Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar jana na Timu ya Mlandege kwa kutwa Kombe la Mapinduzi walilolipata katika mchezo wa Fainali ya sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa kuifunga Timu ya Simba Sport kwa 1-0,katika mchezo uliochewa Uwanja wa Amani Komplex Zanzibar . [Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Wachezaji wa Timu ya Mlandege Sports Club wakiwa katikati hafla ya Chakula cha Usiku kilichowaandaliwa kwa kupongezwa Timu hiyo kwa kuchukua la Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 katika mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex na Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. [Picha na Ikulu] 22/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Shukurani zake kwa Makampuni,wafadhili na wananchi mbali mbali kwa michango yao katika viwanja vya Ikulu wakati hafla ya Chakula cha Usiku alichowaandalia Kamati ya maandalizi ya Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar pamoja na Timu ya Mlandege kwa kuchukua Kombe la Mapinduzi walipoishinda Timu ya Simba Sport 1-0 mchezo wa Fainal uliochezwa uwanja wa Amani Komplex.[Picha na Ikulu] 22/01/2024.
0 Comments