Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
0 Comments