Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Soko la Wajasiriamali la Kifumbikai Wilaya ya Wete akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa huo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Jengo la Wajasiriamali Kifumbikai Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba lilifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa huo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib walipowasili viwanja vya Soko la Kifumbikai kwa ajili ya Ufunguzi rasmi wa Soko la Wajasiriamali leo, akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa huo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbali mbali waliofika kuwapokea katika hafla ya Ufunguzi rasmi wa Soko la Wajasiriamali Kifumbikai Wilaya Wete leo, akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Soko la Wajasiriamali la Kifumbikai wilaya ya Wete mara baada ya kulifungua rasmi akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Baadhi ya Akinamama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake wakati wa Ufunguzi rasmi wa Soko la Wajasiriamali la Kifumbikai Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa huo,katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Taarifa ya Utendaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mhe.Salama Mbarouk Khatibi leo wakati wa Ufunguzi wa Soko la Wajasiriamali la Kifumbikai wilaya ya Wete mara baada ya kulifungua rasmi akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraja la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi na wajasiriamali katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Kifumbikai wilaya ya Wete leo,akiwa katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake wakati wa Ufunguzi rasmi wa Soko la Wajasiriamali la Kifumbikai Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali katika Mkoa huo,katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 2/11/2023.
0 Comments