Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya kuingia kwenye Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
0 Comments