Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu wa Barbados Mhe. Mia Mottley wa pili (kushoto), Rais wa Comoros Azali Assoumani wa tatu kutoka (kulia), Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada wa tatu kutoka (kushoto) pamoja na Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe. Dkt. Edouard Ngirente wa kwanza (kulia) kwenye moja ya mijadala kuhusu fursa mbalimbali za Uwekezaji Barani Afrika wakati wa mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Afrika unaofanyika Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.
0 Comments