Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI MKUU WA BENKI YA EXIM YA SAUDI JIJINI RIYADH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb, Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb pamoja na ujumbe wake Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb wa nne kutoka kushoto pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb mara baada ya mazungumzo Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.

Post a Comment

0 Comments