Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI MKUU WA MFUKO WA MAENDELEO WA SAUDI JIJINI RIYADH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Bw. Sultan Abdulrahman Al-Marshad Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba 2023

Post a Comment

0 Comments