Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiagana na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi alipowasili katika Masjid Noor Kombeni wilaya ya Magharibi "B" leo akishiriki ibada ya Swala ya Ijumaa .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa Waumini wa mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Waumini mbali mbali waki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
0 Comments