Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA ASTRALIA NCHINI TANZANIA LUKE WILLIAMS IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe. Luke Williams, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-11-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Australia Nchini Tanzania Mhe.Luke Williams, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-11-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments