Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
0 Comments