Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake (hawapo pichani) walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
0 Comments