Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (Meza Kuu) akizungumza na Wakandarasi wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.
Mkurugenzi wa Umeme Vijijini kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Jones Olotu akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.
Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Mbadala na Jadidifu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Advera Mwijage akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.
0 Comments