MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kwa ajili ya Kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 22-11-2023, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah.(Picha na Ikulu)
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa akisoma ajenda za
Kikao cha Kamati Maluum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kabla ya
kufungulia kwa Kikao hicho na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwake) na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdullah,
kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 22-11-2023, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 22-11-2023, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja..(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
0 Comments