Ticker

6/recent/ticker-posts

KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA INDIA NCHINI TANZANIA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mhe. Ricardo Mrumbuida leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam.(Picha na Fahadi Siraji)

Post a Comment

0 Comments