Ticker

6/recent/ticker-posts

Dkt Jafo ashiriki Mkutano wa Mawaziri wa Afrika Mashariki Arusha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na Katibu wa Mkuu Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki wakati wa Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea katika ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha leo Novemba 22, 2023. Pembeni yao ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kariuki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijumuika na mawaziri wengine wa Serikali ya Tanzania kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea katika ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha leo Novemba 22, 2023.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijumuika na mawaziri wengine wa Serikali ya Tanzania kuimba wimbo wa Afrika Mashariki wakati wa Mkutano wa Kawaida wa 44 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea katika ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha leo Novemba 22, 2023.

Post a Comment

0 Comments