Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHUDHURIA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wa Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na viongozi wengine wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama kwa Heshima ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania uliokuwa ukiimbwa wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments