Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA MJI WA DKT.HUSSEIN MWINYI TOMONDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Nyumba za Gharama Nafuu za Mji wa Dkt.Hussein Mwinyi Tomondo Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika leo katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uongozi wake (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Saada Mkuya Salum. [Picha na Ikulu] 24/10/2023.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi wakati alipowasili katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba za Gharama Nafuu za Mji wa Dkt.Hussein Mwinyi Tomondo Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika leo katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uongozi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba za Gharama Nafuu za Mji wa Dkt.Hussein Mwinyi Tomondo Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magaribi katika ziara yake iliyofanyika leo katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uongozi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Ripoti ya Mkoa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, leo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba za Gharama Nafuu za Mji wa Dkt.Hussein Mwinyi Tomondo Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uongozi wake (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa. [Picha na Ikulu] 24/10/2023.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simba Development ya Dar es Salaam wakionesha picha za kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba za Gharama Nafuu za Mji wa Dkt.Hussein Mwinyi Tomondo Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magaribi alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uongozi wake . [Picha na Ikulu] 24/10/2023.

Post a Comment

0 Comments