Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Iramba Kata ya Shelui Oktoba 18, 2023 kwenye hafla ya uzinduzi wa kuwasha umeme katika vijiji 131 kupitia mradi wa R3R2 mkoani Singida ambao umetekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili viwanja vya Shule ya Msongi ya Shelui kwa ajili ya kuongoza uzinduzi huo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya REA Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu na katikati ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijiji (REA) Mhandisi Hassan Saidy akijitambulisha wakati wa uzinduzi huo.
0 Comments