Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka wakati akihitimisha ziara yake ya Kitaifa ya Siku tatu nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Zambia ukiimbwa mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kitaifa ya Siku tatu nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Zambia Mhe. Malungo Chisangano mara baada ya kuwasili Bungeni hapo Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima wakati akihitimisha ziara yake ya Kitaifa ya Siku tatu nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2023.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Lusaka nchini Zambia

Post a Comment

0 Comments