MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungmza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mhe.Mizengo Pinda, wakiwa katika tabasamu wakati wakibadilishana mawazo nje ukumbi baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri CCM Taifa, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya cHalmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Mizengo Pinda.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapunduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023 na (kushoto kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa.(Picha na Ikulu)
0 Comments