Ticker

6/recent/ticker-posts

MABALOZI WAMUAGA RAIS DK.MWINYI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi (kulia) walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.

Baadhi ya Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika kujitambulisha na kumuaga Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Hassan Mwamweta anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Berlin na Ujerumani akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.

Post a Comment

0 Comments