Ticker

6/recent/ticker-posts

SANLAM INSURANCE YASHIRIKI RUANGWA MARATHON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara wa Sanlam Life Insurance Kyenekiki Kyando (kushoto) baada ya kumaliza kushiriki Mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akisalimina na Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara wa Sanlam Life Insurance Kyenekiki Kyando (kushoto) baada ya kumaliza kushiriki mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.


Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara Sanlam Life Insurance,Kyenekiki Kyando kulia akiwa na watumishi wa Sanlam Insurance katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kushiriki mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.

Post a Comment

0 Comments