Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ikwiriri, Rufiji Mkoani Pwani mara baada ya kuhitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kibiti akitokea Rufiji Mkoani Pwani wakati wa Ziara yake ya Siku moja tarehe 20 Septemba, 2023.
Wananchi wa Kibiti Mkoani Pwani wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili wakati wa Ziara yake ya Siku moja Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Kibiti Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiandika hoja mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi mara baada ya kusimama kuwasalimia wananchi wa Kibiti wakati wa Ziara yake ya Siku moja Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
0 Comments