Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AKABIDHIWA RIPOTI YA TUME YA KUANGALIA JINSI YA KUBORESHA TAARIFA ZA HAKI JINAI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taarifa za Haki Jinai Tanzania , ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Othman Chande (kulia kwa Rais) na Makamu Mwenyekiti wa Tume Mhe.Balozi Ombeni Sefue, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taarifa za Haki Jinai Tanzania , ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Othman Chande (kulia kwa Rais) na Makamu Mwenyekiti wa Tume Mhe.Balozi Ombeni Sefue, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Maboresho ya Taarifa za Haki Jinai na Mwenyekiti wa Tume Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Othman Chande, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taarifa za Haki Jinai Tanzania na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Othman Chande na Katibu wa Tume Ndg.Al Khalil Mirza (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Tume Balozi Ombeni Sefue na Mjumbe wa Tume Msafiri Ramadhan Msafiri.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taarifa za Haki Jinai Tanzania Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Othman Chande, baada ya kumaliza mazungumzo na kukabidhi ripoti ya Tume, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments