RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa Chakula Zanzibar,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa Chakula Zanzibar (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments