Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Sheikh Salum Mardhia baada ya kumalizika kwa ibada ya Sala ya Ijumaa Leo katika masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiteta na Mkurugenzi wa Mkuu wa Kituo cha Ahmed Al Faatih cha Kiislamu -Bahrain Bw.Nawaf Rasshid Al Rashid (katikati) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria Ibada ya Swala ya Ijumaa leo, Masjid Jamiuu Zinjibar,Mkoa wa Mjini Magharibi wakiitikia Dua Iliyoombwa baada ya ibada hiyo, iliyowajumuisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi mbali mbali. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) pamoja na Waumini wakiitikia Dua iliyoombwa leo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(katikati) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mkoa wa Mjini Magharibi leo kushiriki katika Swala ya Ijumaa. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
0 Comments